We a good story
Quick delivery in the UK

FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja

book 5 in the FC Mezzi series

About FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana! FC Mezzi wanaanza muhula mpya, na lazima wajifunze kucheza tisa kila upande. Ni aina mpya ya mchezo kwenye wanja mkubwa na kanuni za kuotea. Wanamiliki hata nyumba ya kilabu, na wanaizindua kwa They even have their own clubhouse, and they are consecrating it with a horror sleepover. Jake akaushika mkono wa Ursula gizani. Je, anakuwa mpenzi wake wa kwanza? Kisha anasikia kwamba wasichana wanafikiria kuondoka kwenye timu ili kiucheza tenisi. Ghafla Jake anaacha kutenda kama nahodha halisi. Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726254648
  • Format:
  • ePub
  • Protection:
  • Digital watermark
  • Published:
  • August 26, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!
FC Mezzi wanaanza muhula mpya, na lazima wajifunze kucheza tisa kila upande. Ni aina mpya ya mchezo kwenye wanja mkubwa na kanuni za kuotea. Wanamiliki hata nyumba ya kilabu, na wanaizindua kwa They even have their own clubhouse, and they are consecrating it with a horror sleepover. Jake akaushika mkono wa Ursula gizani. Je, anakuwa mpenzi wake wa kwanza? Kisha anasikia kwamba wasichana wanafikiria kuondoka kwenye timu ili kiucheza tenisi. Ghafla Jake anaacha kutenda kama nahodha halisi.
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo!
Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

User ratings of FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja



Find similar books
The book FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja can be found in the following categories:

Join thousands of book lovers

Sign up to our newsletter and receive discounts and inspiration for your next reading experience.