We a good story
Quick delivery in the UK

Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

About Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ninahisi matiti yangu yakijibana na yakiuma, kana kwamba yako karibu kupasuka. Nimeegemea kwenye kaunta, lakini kile ambacho mtu mwingine hakioni ni mikono ya mwanaume yakifinya matiti yangu, na kufanya ngozi kutokea kwenye vidole vyake. Nikisimama tuli na niwe makini, ninaweza kuhisi msisimko wa nywele zake ndogo nyeusi nyuma ya mikono ya mwanaume huyu kwenye kipingili cha mkono wangu. Nilijitahidi kutopumua na nikavuta pumzi kwa haraka na nikainua kichwa changu ili kumwangalia. Tukakutana macho." Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki. Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari, Kula Nami, Kumbukumbu Zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726216615
  • Published:
  • September 11, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi

"Ninahisi matiti yangu yakijibana na yakiuma, kana kwamba yako karibu kupasuka. Nimeegemea kwenye kaunta, lakini kile ambacho mtu mwingine hakioni ni mikono ya mwanaume yakifinya matiti yangu, na kufanya ngozi kutokea kwenye vidole vyake. Nikisimama tuli na niwe makini, ninaweza kuhisi msisimko wa nywele zake ndogo nyeusi nyuma ya mikono ya mwanaume huyu kwenye kipingili cha mkono wangu. Nilijitahidi kutopumua na nikavuta pumzi kwa haraka na nikainua kichwa changu ili kumwangalia. Tukakutana macho."

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust. Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Sarah Skov ni jina bandia la mwandishi mdogo wa kike. Ameandika pia hadithi fupi za kutia ashiki kama vile Kufanya Mapenzi Ndani ya Gari, Kula Nami, Kumbukumbu Zako na Mwanaume Mtetezi wa Wanawake.

User ratings of Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi



Find similar books
The book Hamu ya kumpata Owen Gray - Hadithi Fupi ya Mapenzi can be found in the following categories:

Join thousands of book lovers

Sign up to our newsletter and receive discounts and inspiration for your next reading experience.