We a good story
Quick delivery in the UK

JIFUNZE KISWAHILI

About JIFUNZE KISWAHILI

Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali zenye lengo la kukuza ujuzi wa lugha, fasihi na mawasiliano kwa wasomaji. Katika Kidato cha kwanza mwanafunzi hujifunza msamiati wa kawaida, sharia za lugha, misingi ya fasihi simulizi na fasihi andishi. Kidato cha pili huendeleza uelewa wa lugha na fasihi hivyo mwanafunzi hujifunza pia uundaji wa maneo katika lugha ya Kiswahili ambao hupelekea kuongezwa kwa misamiati katika lugha. Kidato cha tatu na nne huleta mada Zaidi za fasihi, uhakiki pamoja na utungaji. Vipengele kama vile riwaya, tamthilia na mashairi hujadiliwa kwa undani Zaidi. Wanafunzi hujifunza jinsi ya kufanya uchambuzi wa kazi za fasihi na kuzitasiri. Kuelewa na kutumia Kiswahili kwa mawasiliano ya kina na kuandika lengo kuu. Kitabu hiki hujumuisha historia ya lugha, mchango wa fasihi katika jamii na maendeleo ya lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa. Hatua kwa hatua , wanafunzi hupata ujuzi wa kuchanganua, kuelewa, kutoa maoni kuhusu kazi za fasihi, na hii huandaa msingi imara kwa matumizi ya lugha hiyo katika Maisha yao ya kila siku.

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9798224379071
  • Binding:
  • Paperback
  • Pages:
  • 208
  • Published:
  • February 23, 2024
  • Dimensions:
  • 216x11x280 mm.
  • Weight:
  • 537 g.
Delivery: 1-2 weeks
Expected delivery: December 12, 2024
Extended return policy to January 30, 2025

Description of JIFUNZE KISWAHILI

Kitabu hiki kinajumuisha mada mbalimbali zenye lengo la kukuza ujuzi wa lugha, fasihi na mawasiliano kwa wasomaji. Katika Kidato cha kwanza mwanafunzi hujifunza msamiati wa kawaida, sharia za lugha, misingi ya fasihi simulizi na fasihi andishi.

Kidato cha pili huendeleza uelewa wa lugha na fasihi hivyo mwanafunzi hujifunza pia uundaji wa maneo katika lugha ya Kiswahili ambao hupelekea kuongezwa kwa misamiati katika lugha.

Kidato cha tatu na nne huleta mada Zaidi za fasihi, uhakiki pamoja na utungaji. Vipengele kama vile riwaya, tamthilia na mashairi hujadiliwa kwa undani Zaidi. Wanafunzi hujifunza jinsi ya kufanya uchambuzi wa kazi za fasihi na kuzitasiri. Kuelewa na kutumia Kiswahili kwa mawasiliano ya kina na kuandika lengo kuu.
Kitabu hiki hujumuisha historia ya lugha, mchango wa fasihi katika jamii na maendeleo ya lugha ya Kiswahili kama lugha ya taifa. Hatua kwa hatua , wanafunzi hupata ujuzi wa kuchanganua, kuelewa, kutoa maoni kuhusu kazi za fasihi, na hii huandaa msingi imara kwa matumizi ya lugha hiyo katika Maisha yao ya kila siku.

User ratings of JIFUNZE KISWAHILI



Find similar books
The book JIFUNZE KISWAHILI can be found in the following categories:

Join thousands of book lovers

Sign up to our newsletter and receive discounts and inspiration for your next reading experience.