We a good story
Quick delivery in the UK

Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi

book 3 in the Mnadhifishaji series

About Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi

Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na utekelezaji wa sheria. Jioni moja anajaribu kupiga simu bila kujitambulisha huku akiwa amelewa na baada ya kuvuta sigara kadhaa, ila polisi wanakataa kumuamini. Baadaye wakati Bertram anagundua kuwa maisha ya mama yake yamo hatarini, anajaribu kumuonya ila pia mama yake hamuamini. Bertram anaanza kumfuata mama yake na kutambua kuwa anakutana na mwanamume ambaye Bertram hamfahamu. Wakati Bertram anamuuliza mwanamume yule ni nani, mama yake hatimaye anakubali kuwa yule ni mpenzi wake na kuwa wanapanga kuondoka katika eneo lile na kuanza maisha mapya pamoja. Bertram anaamua kupekua ili kujua anapoishi mwanamume huyu, na kuvunja nyumba na kuingia ili kugundua yale atakayoweza kuhusu mwanamume huyu. Anapoangalia vitu vya mwanamume huyu, anapata mkusanyiko wa pasipoti ghushi, na picha ya mwanamume yule akiwa amevalia jaketi ile ambayo Bertram alikuwa ameiba. The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita. Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

Show more
  • Language:
  • Swahili
  • ISBN:
  • 9788726270808
  • Published:
  • September 10, 2019
Delivery: Immediately by email

Description of Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi

Bertram anaogopa kuenda kwa polisi kuwaambia kuhusu kile alichokipata kwenye jaketi aliyoiba kwani yeye ni mhalifu anayesakwa na hataki jambo lolote linalihusiana na utekelezaji wa sheria. Jioni moja anajaribu kupiga simu bila kujitambulisha huku akiwa amelewa na baada ya kuvuta sigara kadhaa, ila polisi wanakataa kumuamini. Baadaye wakati Bertram anagundua kuwa maisha ya mama yake yamo hatarini, anajaribu kumuonya ila pia mama yake hamuamini. Bertram anaanza kumfuata mama yake na kutambua kuwa anakutana na mwanamume ambaye Bertram hamfahamu.

Wakati Bertram anamuuliza mwanamume yule ni nani, mama yake hatimaye anakubali kuwa yule ni mpenzi wake na kuwa wanapanga kuondoka katika eneo lile na kuanza maisha mapya pamoja. Bertram anaamua kupekua ili kujua anapoishi mwanamume huyu, na kuvunja nyumba na kuingia ili kugundua yale atakayoweza kuhusu mwanamume huyu. Anapoangalia vitu vya mwanamume huyu, anapata mkusanyiko wa pasipoti ghushi, na picha ya mwanamume yule akiwa amevalia jaketi ile ambayo Bertram alikuwa ameiba.
The Cleaner ni mchezo wa kuigiza wa kihalifu wenye matukio sita.
Inger Gammelgaard Madsen (b. 1960) ni mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Inger Gammelgaard Madsen ana uasilia wa kisomo cha uchoraji wa vielelezo. Alianza kuandika hadithi zinazohusu uhalifu "Dukkebarnet" katika mwaka wa 2008. Baada ya kitabu hiki, ameandika vitabu vingine kadhaa vinavyohusu uhalifu. Baadhi ya vitabu hivi ni "Drab efter begæring" (2009), "Slangers gift" (2014), "Dommer og bøddel" (2015) na "Blodregn" (2016).

User ratings of Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi



Find similar books
The book Mnadhifishaji Tukio la 3: Jaketi can be found in the following categories:

Join thousands of book lovers

Sign up to our newsletter and receive discounts and inspiration for your next reading experience.